Soko la Karume limeungua moto

Huo moto ni moja ya mpango mkakati wa kuendeleza bonde la mto Msimbazi na wale wafanyabiashara ni wapangaji wanaoonekana ni wakorofi na watakuwa wasumbufu kwa DCC hivyo namma ya kuwaondoa wameona wawafanyie huo ukatili uliopitiliza
 
Ila Fire wapo karibu na Karume imekuaje wameshindwa ushughulikia huu moto?

Tumejifunza nini kutokana na kuungua kwa soko la KKoo?

Umefika wakati wa kujenga masoko yenye fire alarm.

Wamiliki upande ndani ya masoko wapate elimu ya lazima juu ya moto revisited frequently.

Contacts za Emergency zijuilikane na wote. Kama hotline haipo iwe established sasa.
 
Kwanini mara nyingi masoko ya wafanyabiashara hawa yanaungua usiku?

Mchana moto unaogopa kuteketeza mali za watu? Moto una aibu?

Ile taarifa ya kamati ya kuchunguza moto uliotekeza soko la Kariakoo July 2021 kwanini haijatoka? Miezi sita sasa. Kuna maswali mengi, nakosa majibu!

Soko la Karume ni kati ya sehemu ambazo vijana wa kipato cha kati na chini hujipatia mahitaji na kipato chao.

Hakuna kilichookolewa. Wajasiriamali wamepoteza mitaji na hakuna wa kuwafidia.

Mavi-jana yanalipwa na serikali ya CCM kwa kuiweka CCM madarakani🐒🐒🐒
 
Na vyombo vya habrii kimyaa naona huu ni mchongo pale kuna mtu anapataka ajenge sheli or wajenge masoko yao wapige pesa ila haya mambo haya daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…