Soko la kuku wa kienyeji

Soko la kuku wa kienyeji

Kwa nini usiwajuwe kroirer? Wewe utakuwa hujui kuku.

Wanaowalisha kroirer ni hao wanaowauzia supu ya kuku, kuku hai unauziwaje kroirer?
Ujue nini mkuu, hawa chotara tunaowazungumzia, namna wanavyoishi, rangi zao, sura na namna wanavyoadapt mazingira,, kuwafahamu wakiwa sokoni yahitaji ujuzi wa ziada.

Sidhani kama kuna features kubwa zinazowatofautisha na kuku wa kienyeji!

Labda nikuulize mkuu, ni feature gani ukimwangalia tu unajua na kujua kwamba huyu ni chotara?

Mimi kuku wa kizungu, ninaoweza kuwatambua haraka ni broiller na layers tu.
 
Ujue nini mkuu, hawa chotara tunaowazungumzia, namna wanavyoishi, rangi zao, sura na namna wanavyoadapt mazingira,, kuwafahamu wakiwa sokoni yahitaji ujuzi wa ziada.

Sidhani kama kuna features kubwa zinazowatofautisha na kuku wa kienyeji!

Labda nikuulize mkuu, ni feature gani ukimwangalia tu unajua na kujua kwamba huyu ni chotara?

Mimi kuku wa kizungu, ninaoweza kuwatambua haraka ni croiller na layers tu.
Upo sahihi kabisa mkuu.
Huku masokoni wamejaa chatara, kuwatofautisha ni ngumu kidogo, ukiwa mzoefu mpaka umnyonyoe ndo umjue, sasa ndo ushamnunua ukijua ni kienyeji.

Siku hizi hata wafugaji wa pembezoni mwa Dsm hufuga chotara, wakiingizwa sokoni wanadai ni kienyeji.

Mie huwa nikihitaji kuku naagiza huko vijijini ndani ndani kwa wasukuma.
Kuku kiwnyeji ngozi yake sio nyeupe kama hao wengine.
 
Ujue nini mkuu, hawa chotara tunaowazungumzia, namna wanavyoishi, rangi zao, sura na namna wanavyoadapt mazingira,, kuwafahamu wakiwa sokoni yahitaji ujuzi wa ziada.

Sidhani kama kuna features kubwa zinazowatofautisha na kuku wa kienyeji!

Labda nikuulize mkuu, ni feature gani ukimwangalia tu unajua na kujua kwamba huyu ni chotara?

Mimi kuku wa kizungu, ninaoweza kuwatambua haraka ni croiller na layers tu.
Ngozi za miguu yao zinakuwa njano fulani hivi. Wana manyoya machache na mepesi
 
Kwani kroiller wanashida gani kiafya? Au wanatouti gani kiafya na hao wa kienyeji?
Hawana shida yoyote, kuku wa kienyeji bei iko juu.

Ni kama kondoo na mbuzi, kuna watu wanawauzia watu nyama ya kondoo wakijifanya wanauza mbuzi choma.

Ukienda Arusha kwa mromboo kama mbuzi ulimtundika hana mkia ujuwe huuzi hiyi nyama.

Kondoo hana tatizo lakini watu wengi wanapenda mbuzi choma na bei ya mbuzi iko juu ya kondoo iko chini.

To be more precisely ni kama parachichi la Rombo na parachichi la Burundi yote ni avocado lakini rombo ni the best hata kwa test.
 
Kama hawana shida kiafya tule tu

Hongera kwa kuku wa 'Mama'
 
Back
Top Bottom