- Thread starter
- #21
14000bossBei zake zikoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
14000bossBei zake zikoje
15000 wakija dar kwa gharama yangu namba 0613929286Weka bei kama ukiwaleta Dar mwenyewe ni bei gani?
Weka namba za simu simu ziite sasa wateja wapo.
Mkuu usibabaike na majina sijui kuloiler sijui saso. Suala kubwa ni malezi, iwapo kuloiler atalelewa kienyeji anakuwa wa kienyeji na kuku wa asili akillelewa kisasa anakuwa wa kisasa. Kuku yeyote anaweza kulelewa kienyeji au kisasa. Akilelewa kienyeji atakula vyakula vya asili vya kujitafutia na ukuaji wake utakuwa wa taratibu, na nyama yake itakuwa ngumu kama kawaida.'Kuku wa kienyeji' imekuwa ni neno la brand ya biashara.
Kiuhalisia tunalishwa sana 'kroiller' bila kujua.
Ukibambikwa kroiller wewe waweza kujua?
NakaziaSwali la msingi hili!