Mkuu usibabaike na majina sijui kuloiler sijui saso. Suala kubwa ni malezi, iwapo kuloiler atalelewa kienyeji anakuwa wa kienyeji na kuku wa asili akillelewa kisasa anakuwa wa kisasa. Kuku yeyote anaweza kulelewa kienyeji au kisasa. Akilelewa kienyeji atakula vyakula vya asili vya kujitafutia na ukuaji wake utakuwa wa taratibu, na nyama yake itakuwa ngumu kama kawaida.
Kwa kukushauri nunua kuku kwa watu wanaofuga free range sio kwa wajasiliamali utauziwa kuku iliofugiwa ndani.
Kitu kitu ngine bei, ukiona jogoo unauziwa elf 30, jua kafugiwa nje ila elf 15 mpaka 20 huyo ni kisasa.