Soko la kuku wa nyama bloiler kwa Mwanza lipoje?

Tuungane mkuu tuingie huko simiyu na bariadi tutafute wa kienyeji tuje tuuze mwanza but kila mtu na mtaji wake nahitaji company tuu
 
K
Habari, nimeona post yako wakati natafuta supplier wa kuku kwa mwanza. Je unao hapo mwanza?
 
K

Habari, nimeona post yako wakati natafuta supplier wa kuku kwa mwanza. Je unao hapo mwanza?

hapana kwa sasa mkuu, mi nimfugaji nimetoka Dar ,,, nimehamia huku
 
Motivation speaker
 
Mwanza kuhusu broiler soko ni dogo sana na sana sana kwenye vibanda vya chips

Kuna wahindi walikuja mwanza wakawekeza bilioni of money kwenye broiler na still waliangukia pua walikuwa na brand yao wanaiita kuku poa

Wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa ni wazito kupokea kitu kigeni na kukitumia kwa haraka especially kwenye chakula.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 

kumbe kuku poa ilikua ya wahindi??

pale walipokuepo nilikua naenda kula walihama
 

Lakini nilisikia pia walikua wanachinja wanapeleka dar bloiler wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…