Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Tuungane mkuu tuingie huko simiyu na bariadi tutafute wa kienyeji tuje tuuze mwanza but kila mtu na mtaji wake nahitaji company tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari, nimeona post yako wakati natafuta supplier wa kuku kwa mwanza. Je unao hapo mwanza?Salute!
Kwa wafugaji wa kuku wa nyama Dar soko ni rahisi sana tofauti na mikoani ambapo mtu hulazimika kuuza reja reja hadi kuku watapoisha.
Kwa Dar una option mbili:
1. Reja reja ambapo bei huwa 7000-7500.
2. Kuuza kwene chama cha kuku hapa utauza kwa 6000.
Faida ya kuuza kwenye chama wanachukua kuku wote hata kama unao 300. Hivyo huwezi pata hasara.
Swali je, kwa Mwanza Soko la kuku broiler limekaaje? kuna vyama vya kuku ambacho unaweza uza jumla?
Mi nimgeni, nipeni maelekezo.
Kausha sihitaji company tena.usije nikaba njiani mkuu
Motivation speakerUshakosea step ya kwanza ya mradi, umefanya uzalishaji na hujui soko. Mwanza siijui so nakupa back up plan endapo umekosa hili unalotafuta, inahitaji muda ila ni endelevu.
Uza kuku kadhaa tafuta vifaa kama jiko, ndoo, sahani, vikombe, chupa ya chai. Bakiza mtaji kidogo wa kuanzia kununua maziwa, ndizi, mihogo, tangawizi, kahawa, mafuta ya kupikia na mkaa.
Tafuta location yenye watu wengi wanaopita hasa intersections pembeni ya vibarani preferably kuwe na baa za karibu. Tafuta mama mpe kila kitu kazi yake kukaanga na kuuza hivyo nilivyotaja. Siwezi kukupa estimations atauza kuku wangapi kwa siku ila kila siku atauza.
Sasa multiply hicho unachofanya kwa mama mmoja kifanye kwa mama kadhaa kadri unavyoweza. Hakuna haja ya kibanda wala kibari. Unaweza uza kuku kadhaa kwa siku na wengine ukauza kwa kwa njia unayotafuta hapa.
Chukua ushauri huu kama wewe ni mjasiriliamali, kilimo na ufugaji usipojumlisha na ujasiriamali utatia huruma endapo soko la awali litafeli.
Angalizo: Kitu chochote huwa ni chepesi kwenye maandishi, sio kwenye utekelezaji.
chotara had wakue n leo
Fuga samaki,ila kwa broiler mwanza utakula mwenyewe.
Hao samaki wa kufuga atawauza wap? na muda gan?
broiler n mwez mmoja samaki ndan ya mwezi mmoja anakua kakomaa
Fuga samaki,ila kwa broiler mwanza utakula mwenyewe.
Nipo Mwanza mjini,Bei Ni 16000 kwa madume na majike.Uko maeneo gani , na bei unaanzia gani
Afuge samaki.!!!!!!!!????
Mwanza kuhusu broiler soko ni dogo sana na sana sana kwenye vibanda vya chips
Kuna wahindi walikuja mwanza wakawekeza bilioni of money kwenye broiler na still waliangukia pua walikuwa na brand yao wanaiita kuku poa
Wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa ni wazito kupokea kitu kigeni na kukitumia kwa haraka especially kwenye chakula.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mwanza kuhusu broiler soko ni dogo sana na sana sana kwenye vibanda vya chips
Kuna wahindi walikuja mwanza wakawekeza bilioni of money kwenye broiler na still waliangukia pua walikuwa na brand yao wanaiita kuku poa
Wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa ni wazito kupokea kitu kigeni na kukitumia kwa haraka especially kwenye chakula.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app