Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unayo kiasi gani?
kwa kuanzia kiasi cha Tani 30 zipo pasipo kwenda kuchimba chini ya uso wa Ardhi.
Tuwasiliane kwa masoko zaidi. imosha@yahoo.com
Kwani twiga hai wanasafirishwa vipi?? wanapita wapi??Sikiliza ndungu wa kuuza madini ya chuma. Nakuomba kabla hujaanza kuwaza jinsi ya kutafuta soko la kuuza chuma ningependa kwanza ujue hiyo Iron Ore unaisafirisha vipi, itamfikia vipi mteja na uuzaje wake wanatumia vipimo gani? Naomba usiwe mjinga kiasi hicho ukapapatika kuwaza utajiri. Utaijiingiza katika matatizo bure. Chuma sio almasi au dhahabu ukaisukuma kama maandazi. Chuma inatakiwa ifanyiwe process ya kuwekwa katika hali ya kuweza kuuzwa. Wewe unafikiri kweli serikali itakuacha wewe upitishe chuma bandarini na kupeleka nje bila serikali kujua?
Samahani nisingependa kukudhalilisha, lakini ningeomba kujua kisomo chako maana mtu ambaye anajua process ya kuextract chuma na properties zake baada ya kufanyiwa processing ina bidi ujue kitu kinachoitwa "binary iron–carbon phase diagram" ni nini.
Acha kuwa na tamaa za utajiri ambao hautaleta manufaa yeyote yale kwako.