Soko la madini aina ya chuma tanzania hata nje

B A

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
24
Reaction score
6
Wadau nina madini aina ya chuma na tayari yamepitia maabara kwa uthibitisho wa viwango vya iron katika iron ore ambapo imethitika kuwa ipo zaidi ya asilimia 72 kwenye iron ore chenga;tafadhali kama ww ni mnunuzi au una jua soko nisaidie;please:
 
Sikiliza ndungu wa kuuza madini ya chuma. Nakuomba kabla hujaanza kuwaza jinsi ya kutafuta soko la kuuza chuma ningependa kwanza ujue hiyo Iron Ore unaisafirisha vipi, itamfikia vipi mteja na uuzaje wake wanatumia vipimo gani? Naomba usiwe mjinga kiasi hicho ukapapatika kuwaza utajiri. Utaijiingiza katika matatizo bure. Chuma sio almasi au dhahabu ukaisukuma kama maandazi. Chuma inatakiwa ifanyiwe process ya kuwekwa katika hali ya kuweza kuuzwa. Wewe unafikiri kweli serikali itakuacha wewe upitishe chuma bandarini na kupeleka nje bila serikali kujua?

Samahani nisingependa kukudhalilisha, lakini ningeomba kujua kisomo chako maana mtu ambaye anajua process ya kuextract chuma na properties zake baada ya kufanyiwa processing ina bidi ujue kitu kinachoitwa "binary iron–carbon phase diagram" ni nini.

Acha kuwa na tamaa za utajiri ambao hautaleta manufaa yeyote yale kwako.

Kwani twiga hai wanasafirishwa vipi?? wanapita wapi??

Mwache jamaa apige hela, nchi hii shamba la bibi mkuuu
 
kaka natanguliza hongera zangua kwanza pili usikate tamaa sababu kuna baadhi ya watu kazi yao ni kukatisha tamaa mimi nina deal na copper ore na namshukuru mungu ya kuwa nimepata soko kupitia www.sell123.org hapa utapata kila unachohitaji .tuwasiliane kwa kila jambo na zingatia dhamira chanya na muono wako thabiti awa kujikwamua na umaskini.
 
Back
Top Bottom