Soko la master internatinal business (mib)

Soko la master internatinal business (mib)

ramase

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
241
Reaction score
49
wadau, naomba kujua kwa wale wanaofahamu hasa walionitangulia na wenye uelewa wa hii progamu pengine wameisoma au ndugu zao waliifanya. Vipi hii program soko lake la ajira likoje?

Nahitaji kuifanya na bachelor nimfanya economics so, ni vizuri kabla sijaanza nifanye uchunguzi kabla sijachukua hatua.
MSAADA TAFADHALI...
 
unaonesha usivyo makini katika mission zako.... wewe unasoma kulingana na soko la ajira pekee? unasubiri watu wa kuchagulie? ningekushauri usubiri kwanza hadi utakapo mature vizuri ndo uombe tena kusoma masters....
 
wadau, naomba kujua kwa wale wanaofahamu hasa walionitangulia na wenye uelewa wa hii progamu pengine wameisoma au ndugu zao waliifanya. Vipi hii program soko lake la ajira likoje?

Nahitaji kuifanya na bachelor nimfanya economics so, ni vizuri kabla sijaanza nifanye uchunguzi kabla sijachukua hatua.
MSAADA TAFADHALI...

Huhitaji kutengeneza ramani ya maisha yako kwa kuzingatia ajira. ajira hazipo, to be honest. Halafu kila kitu kina manufaa yake kwa wakati wake. Kama unaona MIB ni nzuri kwako subiri muda ufike ukasome. Ila kama unaangalia ajira MIB wala MBA wala MA hazikufai maana ajira hazipo kirahisi. Ajira zilizopo ni UALIMU na mambo ya sayansi yenye Upungufu, so kama ni ushauri nikifuata stream ya ajira...itabidi nikubadili mwelekeo nikuombe ukasome MD au Ualimu wa Hesabu na Sayansi. Otherwise kasome kitu unachokipenda ili hata ajira ikikosekana uwe na uwezo wa kufanyia kazi ulichokisoma hat kwa kujitegemea. Pili kasome kitu ulichonauwezo nacho. Unahitaji ushauri zaidi? Njoo jamvini tena.
 
Back
Top Bottom