SGS AGENCY
Member
- May 16, 2026
- 11
- 14
Habari za muda huu wanajukwaa.
Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya siku chache zijazo.
Moja ya ibada kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ni kuchinja wanyama wenye sifa maalumu.
Wanyama wanaochinjwa katika siku kuu ya Eid Al- Adh-haa kulingana na sharia yetu ya dini ya kiislamu kama alivyoekekeza Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم
ni wanyama aina nne ambao ni:
1️⃣ Ngamia mwenye umri wa kuanzia miaka mitano na kuendelea.
2️⃣ Ng'ombe mwenye umri wa kuanzia miaka miwili na kuendelea.
3️⃣Mbuzi mwenye umri wa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea na
4️⃣ Kondoo mwenye umri wa kuanzia miezi sita na kuendelea.
Haifai kuchinja wanyama jamii ya ndege kama kuku na bata wala wanyama wasiofugwa kama nyati ,nyumbu na pundamilia.
Pia haifai kuchinja farasi.
SIFA NA MASHARTI MENGINE.
Yatakiwa mnyama wa kuchinja katika sikukuu ya Eid Al Adh-haa asiwe na maradhi ya aina yoyote, asiwe na ulemavu wa aina yoyote wala upungufu wa kiungo chochote.
Haifai katika sikukuu hii kuchinja mnyama kiwete asiyeweza kutembea au anayetembea kwa shida kwa sababu mguu wake au mkono wake mmoja ni mbovu.
Pia haitakiwi kuchinja mnyama mgonjwa au aliyekonda sana pia haifai kuchinja mnyama kipofu asiyeona wala chongo ambaye jicho lake moja halioni.
Pia haifai kuchinja mnyama ambaye sehemu kubwa ya pembe lake imevunjika au sehemu kubwa ya sikio lake au mkia wake imekatika.
MUDA WA KUCHINJA.
Muda wa kuchinja unaanza pale watu wanapomaliza kuswali swala ya Eid Al - Adh- haa ambayo kwa kisheria huswaliwa asubuhi na mapema baada ya jua kuchomoza na mwisho wa muda wa kuchinja ni linapozama jua la siku ya nne baada ya Eid anbapo inakuwa ni tarehe 13 ya mwezi wa Dhul-hijja (Mfungo tatu)
Ikiwa muislamu atachinja kabla ya muda ( akichinja kabla ya swala ya Eid au akichinja baada ya kuzama jua la tarehe 13 kuelekea tarehe 14 )au akichinja mnyama wa halali lakini ambaye hana sifa zilizobainishwa kisheria hiyo itakuwa ni mboga ya halali ya kawaida kwa ajili yake na familia yake ila hatohesabiwa wala hatapata thawabu maalumu zinazopatikana Kwa kuchinja katika sikukuu ya Eid Al- Adh-haa.
BIASHARA.
Katika msimu huu wa kuelekea sherehe za Eid Al-Adh- haa
SIBOMANA GENERAL SUPPLIES AGENCY ( SGS Agency) wamewaletea wakazi wa manispaa ya Moshi mbuzi na kondoo wazuri waliokidhi viwango vya kisheria kwa mahitaji ya kuchinja katika sikukuu ya Eid Al -Adh-haa.
TUNAPATIKANA PASUA MANISPAA YA MOSHI KATIKA KITUO CHA MARKAZ MUQBILI BIN HAADY AL WAADII'Y JIRANI NA UWANJA WA MANDELA.
KWA MAWASILOANO ZAIDI TUPIGIE KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO.
+255 717 445 411
+255 747 043 344
NYOTE MNAKARIBISHWA.