P Pablo_tza New Member Joined Jan 16, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Jun 4, 2015 #1 Natumaini sote tu buheri wa afya wakuu, Naomba niende kwenye lengo moja kwa moja. Nina viroba vya mihogo zaidi ya mia moja(100) hivyo natafuta soko.Bado ipo shambani ila atakayekuwa interested. Nitavuna mwenyewe kisha anachukuwa ikiwa tayari. Nipo Kahama, Shinyanga. Bei ni maelewano. Serious buyers only Please call 0759884771 au email fkiganja@yahoo.com. Asanteni
Natumaini sote tu buheri wa afya wakuu, Naomba niende kwenye lengo moja kwa moja. Nina viroba vya mihogo zaidi ya mia moja(100) hivyo natafuta soko.Bado ipo shambani ila atakayekuwa interested. Nitavuna mwenyewe kisha anachukuwa ikiwa tayari. Nipo Kahama, Shinyanga. Bei ni maelewano. Serious buyers only Please call 0759884771 au email fkiganja@yahoo.com. Asanteni
V von tosy JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 251 Reaction score 155 Jun 6, 2015 #3 Kwa kiroba 1 bei ni sh.ngapi na je nikitaka kuanzia 3-10 bei vipi.