Soko la Mihogo

Soko la Mihogo

Pablo_tza

New Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Natumaini sote tu buheri wa afya wakuu,

Naomba niende kwenye lengo moja kwa moja. Nina viroba vya mihogo zaidi ya mia moja(100) hivyo natafuta soko.Bado ipo shambani ila atakayekuwa interested. Nitavuna mwenyewe kisha anachukuwa ikiwa tayari. Nipo Kahama, Shinyanga.

Bei ni maelewano. Serious buyers only

Please call 0759884771 au email fkiganja@yahoo.com.

Asanteni
 
Kwa kiroba 1 bei ni sh.ngapi na je nikitaka kuanzia 3-10 bei vipi.
 
Back
Top Bottom