Wana jf nina shamba la mitiki lipo kisarawe lina ukubwa wa hekari 14,lina miti ya mitiki ipatayo 8000, miti 200-250 kati ya hiyo ipo tayari kuvunwa.shida yangu ni kama ifuatavyo
1.Kama nitaweza kupata mteja wa kununua miti peke yake
2,kama nitapata mteja wa kununua shamba(ardhi)pamoja na miti kwa pamoja
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Ata mm nnayo iyo mitiki shamba lipo morogoro miti inamiaka 12 naitj soko miti ipo elfu 2000 namba yangu 0618222527Mkuu weka details zaidi Miti ina umri gani? Pia ungetupia ata picha 2,3 ingependeza baada ya hapo ninaweza kukupatia wateja kulingana na miti yako. Pia kuvuna miti 200 out of 8000 ni mtihani. Thining from above hiyo mnaita??
Sent using Jamii Forums mobile app