Wana JF nina shamba la mitiki lipo kisarawe lina ukubwa wa hekari 14,lina miti ya mitiki ipatayo 8000, miti 200-250 kati ya hiyo ipo tayari kuvunwa.shida yangu ni kama ifuatavyo
1.Kama nitaweza kupata mteja wa kununua miti peke yake
2,Kama nitapata mteja wa kununua shamba(ardhi)pamoja na miti kwa pamoja
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
1.Kama nitaweza kupata mteja wa kununua miti peke yake
2,Kama nitapata mteja wa kununua shamba(ardhi)pamoja na miti kwa pamoja
Natanguliza shukrani zangu kwenu.