VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
DaaaahMkuu upo sahihi kwa hili nakuunga mkono!
Lakini mbona kama wewe ndo unaeteseka mkuu?
Kwanini usifatilie mambo yako mkuu??!
Pole mjomba. Kumbe kwa hili nimekushindilia msumali wa moto?! Ya kwangu yamenishinda, ndo nkaona niingilie ya kwako.Mkuu upo sahihi kwa hili nakuunga mkono!
Lakini mbona kama wewe ndo unaeteseka mkuu?
Kwanini usifatilie mambo yako mkuu??!
Mkuu kwenye Jamii zingine mwanamke bado ana thamami ata akiwa na miaka 50 bado anaolewa, Kwa jamii ya Kiislam Wao wanao Mwanamke yoyote yule na hawaangalii umri wala Used au kazakishwa sana au kaolewa sana yani kule Zanzibar mwanamke ata akizalishwa watoto kumi na wanaume tofauti bado anaolewa na ana chagua, kwa Maeneo ya wanayoishi Waislamu Mwanamke ana kua na Machagaguo Mengi kuliko Mwanaume.Umenena mwanamke akivuka 35 tu ni kisanga
Huyo anakuwa ni mwanamke bora. Hapa nimeongelea bora mwanamke.Wale wanaojiona wana hadhi kuliko wenzao.Mkuu kwenye Jamii zingine mwanamke bado ana thamami ata akiwa na miaka 50 bado anaolewa, Kwa jamii ya Kiislam Wao wanao Mwanamke yoyote yule na hawaangalii umri wala Used au kazakishwa sana au kaolewa sana yani kule Zanzibar mwanamke ata akizalishwa watoto kumi na wanaume tofauti bado anaolewa na ana chagua, kwa Maeneo ya wanayoishi Waislamu Mwanamke ana kua na Machagaguo Mengi kuliko Mwanaume.
Kila jinsia ina tabu inategemeana kijana wa kiume au wa kike yupo hatua gani. Kijana wa kike anaingia kwenye dating pool thamani yake ikiwa kubwa. Atapata attention, admiration, favouritism n.k. Privilege ambazo kijana wa kiume hawezi kuzipata maana yeye anaingia kwenye dating pool thamani yake ikiwa chini. Hana kazi, yupo broke.Binafsi naona vijana wa kiume wa sasa ndio wana tabu kubwa , naona kama wadada wameshavuka huko , na vijana wa kiume ndio wana tabu kubwa sana🤔
Mimi kama baba wa mtoto wa kike nasema hao wanawake wanatumia miili yao ,baba zao ndio wapumbavu kupindukia ,unazaa mtoto haujui atakuja kuishi vipi🚮Kila jinsia ina tabu inategemeana kijana wa kiume au wa kike yupo hatua gani. Kijana wa kike anaingia kwenye dating pool thamani yake ikiwa kubwa. Atapata attention, admiration, favouritism n.k. Privilege ambazo kijana wa kiume hawezi kuzipata maana yeye anaingia kwenye dating pool thamani yake ikiwa chini. Hana kazi, yupo broke.
Lakini baada ya muda wa miaka kama 10 hivi meza inapinduka. Maana thamani ya mwanamke ni mwili wake ambao uzuri unaoungua miaka inavyoenda na thamani ya mwanaume ni uchumi wake ambapo anapanda hatua kadiri miaka inavyosogea.
Kwenye dating pool kijana wa kiume na wa kike ambao wapo early 20's yule wa kike ana thamani kubwa. Kijana wa kiume na wa kike ambao wapo 35+ yule wa kiume ana thamani kubwa.
Malezi yamekua changomoto mzee mwenzangu. Kuna ajenda nyingi sana za kishetani zinasambazwa kupitia mwanamke, na watu ambao wapo nyuma hizi ajenda wana nguvu kubwa sana kiuchumi na kimamlaka. Kwaiyo weka akiba ya maneno. Subiri kwanza binti yako apite salama ile interval ya miaka 15-25 ndio uongee kila kituMimi kama baba wa mtoto wa kike nasema hao wanawake wanatumia miili yao ,baba zao ndio wapumbavu kupindukia ,unazaa mtoto haujui atakuja kuishi vipi🚮
Hifadhi hii nakala itawafaa wanao hapo baadae.Ehh dada wewe!!!!
Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana.
Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend...
Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ...
Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua kula pesa zao na kuwaumiza...
Umri ukienda hata kama una biashara yako hakikisha unaweza sasa ku mudu hasira maana utakua upo single ila changamoto yoyote mwanaume akitaka kukutatulia atakutaka ki mapenzi hata kama ana sura kama nyani zee
Umri ukienda...je utamudu kufanywa mchepuko wa kudumu ili upate msaada wa watoto wako ulio zaa na yule kijana bishoo kipindi cha viwanja ukitaka kuzaa watoto wa muonekano...ili mtaani tukusifie kua una mtoto mzuri ...
Umri ukienda umejiandaaje..kusemwa umekalia umalaya tu hakuna lolote wakati wadogo zako mtaani uliokua unawaona wanakuja na kuolewa kwa ndoa wewe upo tu na skin care umekalia ku grow
Upweke utaumudu Msongo wa mawazo utakabiliana nao...
Vipi kudharaulika maana kila mgeni mtaani akija anaonyeshwa wewe ndio demu wa haraka haraka wa kukula apoze nyege zake...
Ndugu zangu wanaume tule warembo wa miaka 18 mpaka 28. Zaidi ya hapo unakula mataptap 🤣🤣🤣🤣Kila jinsia ina tabu inategemeana kijana wa kiume au wa kike yupo hatua gani. Kijana wa kike anaingia kwenye dating pool thamani yake ikiwa kubwa. Atapata attention, admiration, favouritism n.k. Privilege ambazo kijana wa kiume hawezi kuzipata maana yeye anaingia kwenye dating pool thamani yake ikiwa chini. Hana kazi, yupo broke.
Lakini baada ya muda wa miaka kama 10 hivi meza inapinduka. Maana thamani ya mwanamke ni mwili wake ambao uzuri unaoungua miaka inavyoenda na thamani ya mwanaume ni uchumi wake ambapo anapanda hatua kadiri miaka inavyosogea.
Kwenye dating pool kijana wa kiume na wa kike ambao wapo early 20's yule wa kike ana thamani kubwa. Kijana wa kiume na wa kike ambao wapo 35+ yule wa kiume ana thamani kubwa.
Waislam hawahawa wanaopinga zinaa au kuna version nyingine?Mkuu kwenye Jamii zingine mwanamke bado ana thamami ata akiwa na miaka 50 bado anaolewa, Kwa jamii ya Kiislam Wao wanao Mwanamke yoyote yule na hawaangalii umri wala Used au kazakishwa sana au kaolewa sana yani kule Zanzibar mwanamke ata akizalishwa watoto kumi na wanaume tofauti bado anaolewa na ana chagua, kwa Maeneo ya wanayoishi Waislamu Mwanamke ana kua na Machagaguo Mengi kuliko Mwanaume.
Ulitaka baba yake afanyeje!? Kwanini usiwalaumu wazazi wote wawili ila umemchagua baba tu!?Mimi kama baba wa mtoto wa kike nasema hao wanawake wanatumia miili yao ,baba zao ndio wapumbavu kupindukia ,unazaa mtoto haujui atakuja kuishi vipi[emoji706]
Mkuu upo sahihi kwa hili nakuunga mkono!
Lakini mbona kama wewe ndo unaeteseka mkuu?
Kwanini usifatilie mambo yako mkuu??!
SawaUlitaka baba yake afanyeje!? Kwanini usiwalaumu wazazi wote wawili ila umemchagua baba tu!?
Mimi kama Baba nikimsomesha mwanangu mpaka hatua ya juu ya elimu nitapaswa kumtafutia ajira pia!? Sidhani kama umetafakari kabla ya kucomment.
[emoji706]