Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Kosa liko hapo.Subiri kwanza binti yako apite salama ile interval ya miaka 15-25 ndio uongee kila kitu
Acheni kuwatishaUmenena mwanamke akivuka 35 tu ni kisanga
Mlipe asepeMkuu upo sahihi kwa hili nakuunga mkono!
Lakini mbona kama wewe ndo unaeteseka mkuu?
Kwanini usifatilie mambo yako mkuu??!
Mafanikio ya kiuchumi nibora kuliko ndoa. Ungewashauri zaidi kupambana kiuchumi ungekuwa umefanya jambo la maanaEhh dada wewe!!!!
Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana.
Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend...
Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ...
Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua kula pesa zao na kuwaumiza...
Umri ukienda hata kama una biashara yako hakikisha unaweza sasa ku mudu hasira maana utakua upo single ila changamoto yoyote mwanaume akitaka kukutatulia atakutaka ki mapenzi hata kama ana sura kama nyani zee
Umri ukienda...je utamudu kufanywa mchepuko wa kudumu ili upate msaada wa watoto wako ulio zaa na yule kijana bishoo kipindi cha viwanja ukitaka kuzaa watoto wa muonekano...ili mtaani tukusifie kua una mtoto mzuri ...
Umri ukienda umejiandaaje..kusemwa umekalia umalaya tu hakuna lolote wakati wadogo zako mtaani uliokua unawaona wanakuja na kuolewa kwa ndoa wewe upo tu na skin care umekalia ku grow
Upweke utaumudu Msongo wa mawazo utakabiliana nao...
Vipi kudharaulika maana kila mgeni mtaani akija anaonyeshwa wewe ndio demu wa haraka haraka wa kukula apoze nyege zake...
Wanapinga zinaa na siyo Kuolewa na kuachika au kuzaa watoto wengi na Wanaume tofauti ndani kwenye ndoa.Waislam hawahawa wanaopinga zinaa au kuna version nyingine?
Iyo ndio devine order. Mwanaume jenga maisha yako then go for a young, virgin and feminine woman.Ndugu zangu wanaume tule warembo wa miaka 18 mpaka 28. Zaidi ya hapo unakula mataptap 🤣🤣🤣🤣
Kila upande una shida ila ya mwanamke ni kubwa zaidi hadi apate wanaume atakayeamua kumuoa ni kazi ngumu sana.Binafsi naona vijana wa kiume wa sasa ndio wana tabu kubwa , naona kama wadada wameshavuka huko , na vijana wa kiume ndio wana tabu kubwa sana🤔
Kabisa hapo lazma aende kwa mganga na Nabii aombewe hapate mume.Kila upande una shida ila ya mwanamke ni kubwa zaidi hadi apate wanaume atakayeamua kumuoa ni kazi ngumu sana.