Soko la nyanya

Soko la nyanya

Nyanya zilizomwagwa pale dumila mmh wakulima wamepata hasara bila shaka.... Poleni sasa nyanya zinauzwa bei chee sana
 
Huku kwetu tunakamua juice sasa hivi, huwezi amini watoto wanashindia kachumbari
 
Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza
 
Kaka tafta mteja kenya kama unamzigo mkubwa. Uku uchumi umeoza.
 
Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza
Na mwanza zinasoko sababu kunawakenya buhongwa wanalangua. Wenzetu uko wanaviwanda vya kutosha.
 
Back
Top Bottom