Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Aug 25, 2016 #21 Nyanya zilizomwagwa pale dumila mmh wakulima wamepata hasara bila shaka.... Poleni sasa nyanya zinauzwa bei chee sana
Nyanya zilizomwagwa pale dumila mmh wakulima wamepata hasara bila shaka.... Poleni sasa nyanya zinauzwa bei chee sana
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Aug 25, 2016 #22 Huku kwetu tunakamua juice sasa hivi, huwezi amini watoto wanashindia kachumbari
Baba Davey Member Joined Jun 8, 2016 Posts 12 Reaction score 9 Aug 27, 2016 #23 Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza
Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,669 Aug 27, 2016 #24 Kaka tafta mteja kenya kama unamzigo mkubwa. Uku uchumi umeoza.
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,669 Aug 27, 2016 #25 Baba Davey said: Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza Click to expand... Na mwanza zinasoko sababu kunawakenya buhongwa wanalangua. Wenzetu uko wanaviwanda vya kutosha.
Baba Davey said: Soko la nyanya lipo mwanza pande za Buhongwa!!jitahid upate updates za hilo eneo kama zitakidhi malengo yako uliyojiwekea baada ya kuuza Click to expand... Na mwanza zinasoko sababu kunawakenya buhongwa wanalangua. Wenzetu uko wanaviwanda vya kutosha.