Soko la pamoja la Afrika ni nini?

Soko la pamoja la Afrika ni nini?

Kwa uwelewa wangu huu wa lasaba B
Tunapo zungumzia soko la pamoja huimaanishi kuuza vitu at one place
Wafanya biashara mathalani wa Tz wanaweza uza bidhaa zao (ghafiau laah)
Katika nchi yenye uhitaji bila kuwepo na mifumo ya kodi
ie.
import duty au vat
Angalizo hapa napo ni pagumu kutokana na utofauti wa maendeleo ya tekinologia baina ya wanachama
 
Haitawezekana mkuu, maana watawala wetu ni wabinafsi sn
 
ni sawa na soko la kariakoo wakutanapo watu toka pande zote za tanzania na hata wageni toka nchi majirani

hapo mkenya ataleta (sabuni za mbuni/ mafuta kimboboi/ etc), Rwanda/Burundi wataleta maparachichi, Tanzania twapeleka mahindi na madini, Zambia wanunuzi wa bidhaa, Congo ............
 
Mbona Sasa tunauza na wao wanatuuzia tofauti nini
 
Jana kunatangazo la waziri kitila mkumbo kuhusu ku approvu one common market kwa African countries wameratify hiyo treaty
So far sijajua where the reservation clause has been set to apply
Nliliona limeandikwa kwa kiingereza na waziri mswahili naona hata yeye haelewi ni kitu gani hicho ndio maana aliandika kiingereza
 
Africa haitaweza kuungana, tuna shetani mbaya sana ambalo ni udini, ukabila na umimi.. labda vizazi vya mbeleni sana
 
Back
Top Bottom