Soko la samaki

Soko la samaki

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Wakuu naomba kuuliza nawezaje kupata soko la samaki.

Nina shamba la samaki wameanza kukomaa hivyo nategemea kuanza kuwavuna mapema mwezi ujao.

Kama kuna mtu anajua,anaweza kunipa mwongozo.
 
Upo mkoa gani? ni samaki aina gani?
 
Back
Top Bottom