Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Mbona taarifa zinachelewa kuletwa chanzo cha moto, au maafa yoyote hapo?
 
Yan mbeya sijui wanashida gani kuunguliwa na masoko,



In ua Presence Jesus is where I belong
 
yap ndani ya tukio tayar huu moto umenikumbusha syria...
 
Daah

Heavy Weight
 


[emoji27]
 
Hii hujuma au nn? Mbeya majanga hayaishi.Mungu awatie nguvu wafanya biashara wa Sido. New York Street pale Sido haitakuepo tena tulikua tunapata nguo Kali sana.
 
Chanzo cha cha moto ni umeme kwenye maduka kwa ambao hawakuzima umeme, umeanzia kwenye kibanda cha CD jamaa hakuzima sakiti,ila hii mission imetengenezwa tangu wiki ilopita na ilitakiwa itimie weekend kuna wafanya biashara walishtuka jana nilkuta wakijadili hili suala
Tangu alhamisi mbeya umeme unakatwa saa kumi na mbili alafu mida ya saa tatu wanarudisha ile kama mtu anachezea hii imepelekea watu wengi kuunguliwa vitu vya majumbani,na huu ni mpango wa kuwapeleka wafanya biashara kwenye lile ghorofa.
Hii ndo inaitwa "mchana tochi, usiku magogo tufanyeje sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka wawekezaji wakati hata fire haupo?!. Nani aje awkeze mabilioni hapa?!. Nimesikitika sana kama kuna mtu kafanya makusudi basi vilio vimwendee yeye na watu waje. Should not be the curse of the nation rather his,/her family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…