Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Kweli ukifuatilia baada ya kuungua linaletwa soko lingine kubwa mf. Soko la mwanjelwaCommon sense yasema NDIO, inakuaje mikoa mingine matukio ya maeneo kuungia moto hamna??
Usijiaminishe ujinga.Kwa hiyo serikali iwe inajenga alafu wao wanachoma eeeh! Hizi akili hizi, dah!
sido ndo WAP?ebu tulia utueleze upo mkoa gan?
Nasema hivi nyie wanyakyusa wa mbeya mnachoma masoko yenu makusudi, hutaki acha! Ila sababu ya huu ujinga wenu mtaendelea kuwa kijiji kikubwa kieneo hapa Tanzania.Usijiaminishe ujinga.
Ukipost kitu unajua kuwa ni ujinga nawe ukakiamini, unadharaulika katika uelewa.
Miundombinu ya jiji la Mbeya ni ile ile toka ukoloni na mara baada ya uhuru.
Goods and servises na biashara zimeongezeka.
Huduma za kimiundombinu ziko pale pale na ni duni.
Wakati kwingine kunajengwa malls, mbeya bado tuna visoko kya kizamani.
Kuungua kwa huduma jizo duni si jambo la ajabu kutokana na misongamano nk.
Nenda Mwanjelwa ujionee mwenyewe.
Unaonyesha ujinga mwingine unaotokana na ufahamu finyu.Nasema hivi nyie wanyakyusa wa mbeya mnachoma masoko yenu makusudi, hutaki acha! Ila sababu ya huu ujinga wenu mtaendelea kuwa kijiji kikubwa kieneo hapa Tanzania.
Msongamano my ass, yaonyesha hata Kariakoo hujawahi fika na kuona msongano ila bado hamna matukio ya moto na umeme upo, au mnatumia vibatari??
Hivi huko mbeya huwa wanachoma masoko makusudi au??Manake hawamalizi mwaka bila masoko yao kuungua
Washamba tu basi.Ushamba wao nn ?
Kwanza unapotuma picha kuhusisha na tukio uwe makini,unavyoona wewe hizo plate number za gari ni Tanzania hapo ?
Hivi na wewe si mshamba tu!Washamba tu basi.
Aisee kumbe ndiyo wanatumia njia hizo za kishetani, tutazidi kuichukia hii serikaliHabari wadau!
Kuna habari zinaenea kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao katika soko la mwanjelwa maeneo ya Sido akiwepo ndugu yangu wa karibu.
Chanzo cha moto ni wazi hakijulikani vizuri ila kuna viashiria vya kuchomwa na watu maalum waliogazwa toka juu ngazi ya wizara na mkoa (kamati ya ulinzi na usalama)
Kwa mujibu wa baadhi mashuhuda wamedai kuwa moto ulipoanza kuwaka walita kuuzima ila walizuiwa na kuna mtendaji wa eneo alionekana maeneo hayo mda mfupi kabla ya moto kuwaka akiwa na askari wa doria.
Na kikosi cha zima moto kilichelewa bila sababu za msingi na askari walikuwa wakizuia watu kwenda kuzoma moto.
Sababu inadaiwa serikali inataka wafanyabiashara hao wahame na kuhamia soko jipya kama walivyofanya kwa soko la zamani lililo ungua wakiwa na lengo la kuwahamisha.
Hivyo serikali inahusishwa moja kwa moja ili kukidhi matakwa yao.
HapanaHivi na wewe si mshamba tu!