Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Kwa hiyo serikali iwe inajenga alafu wao wanachoma eeeh! Hizi akili hizi, dah!
Usijiaminishe ujinga.
Ukipost kitu unajua kuwa ni ujinga nawe ukakiamini, unadharaulika katika uelewa.

Miundombinu ya jiji la Mbeya ni ile ile toka ukoloni na mara baada ya uhuru.

Goods and servises na biashara zimeongezeka.
Huduma za kimiundombinu ziko pale pale na ni duni.

Wakati kwingine kunajengwa malls, mbeya bado tuna visoko kya kizamani.

Kuungua kwa huduma jizo duni si jambo la ajabu kutokana na misongamano nk.
Nenda Mwanjelwa ujionee mwenyewe.
 
Nasema hivi nyie wanyakyusa wa mbeya mnachoma masoko yenu makusudi, hutaki acha! Ila sababu ya huu ujinga wenu mtaendelea kuwa kijiji kikubwa kieneo hapa Tanzania.
Msongamano my ass, yaonyesha hata Kariakoo hujawahi fika na kuona msongano ila bado hamna matukio ya moto na umeme upo, au mnatumia vibatari??
 
Unaonyesha ujinga mwingine unaotokana na ufahamu finyu.
Mji wa Mbeya wenyeji wake kimsingi ni Wasafwa na wafanyabiashara wengi jijini humo ni predominantly Wakinga.
Jikite katika ufahamu huo.
 
Hivi huko mbeya huwa wanachoma masoko makusudi au??Manake hawamalizi mwaka bila masoko yao kuungua

Kuna tetesi kwamba, baada ya soko la Mwanjelwa kuungua na kujengwa soko la kisasa (ingawa magumashi), walichoma soko kuu mjini ili nako wajengewe la kisasa. Tetesi ikawa lilikuwa lifuate soko linaloitwa soko matola, na kwa mantiki hiyo, inawezekana kabisa wamechoma (pengine), hapo Sido kwa kulazimisha utashi usiowekwa wazi bado. TISS wanajua zaidi kama wako kazini.
 
Habari wadau!

Kuna habari zinaenea kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao katika soko la mwanjelwa maeneo ya Sido akiwepo ndugu yangu wa karibu.

Chanzo cha moto ni wazi hakijulikani vizuri ila kuna viashiria vya kuchomwa na watu maalum waliogazwa toka juu ngazi ya wizara na mkoa (kamati ya ulinzi na usalama)

Kwa mujibu wa baadhi mashuhuda wamedai kuwa moto ulipoanza kuwaka walita kuuzima ila walizuiwa na kuna mtendaji wa eneo alionekana maeneo hayo mda mfupi kabla ya moto kuwaka akiwa na askari wa doria.

Na kikosi cha zima moto kilichelewa bila sababu za msingi na askari walikuwa wakizuia watu kwenda kuzoma moto.

Sababu inadaiwa serikali inataka wafanyabiashara hao wahame na kuhamia soko jipya kama walivyofanya kwa soko la zamani lililo ungua wakiwa na lengo la kuwahamisha.

Hivyo serikali inahusishwa moja kwa moja ili kukidhi matakwa yao.

Na kudhihirisha hilo kuna amri ya kutojenga tena vibanda eneo hilo na wakitakiwa wote kuhamia soko jipya
 
JUZI WAZIRI MKUU AKIWA MBEYA ALISEMA KWA VYOVYOTE JENGO LA MWANJELWA LAZIMA LIJAE WAFANYABIASHARA ILI KULIPA MADENI YA CRDB.

SASA WATAENDA KUJAA PALE.
 
Habari wadau!

Kuna habari zinaenea kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao katika soko la mwanjelwa maeneo ya Sido akiwepo ndugu yangu wa karibu.

Chanzo cha moto ni wazi hakijulikani vizuri ila kuna viashiria vya kuchomwa na watu maalum waliogazwa toka juu ngazi ya wizara na mkoa (kamati ya ulinzi na usalama)

Kwa mujibu wa baadhi mashuhuda wamedai kuwa moto ulipoanza kuwaka walita kuuzima ila walizuiwa na kuna mtendaji wa eneo alionekana maeneo hayo mda mfupi kabla ya moto kuwaka akiwa na askari wa doria.

Na kikosi cha zima moto kilichelewa bila sababu za msingi na askari walikuwa wakizuia watu kwenda kuzoma moto.

Sababu inadaiwa serikali inataka wafanyabiashara hao wahame na kuhamia soko jipya kama walivyofanya kwa soko la zamani lililo ungua wakiwa na lengo la kuwahamisha.

Hivyo serikali inahusishwa moja kwa moja ili kukidhi matakwa yao.
Aisee kumbe ndiyo wanatumia njia hizo za kishetani, tutazidi kuichukia hii serikali
 
Serikali ikitaka uhame sehem haina haja ya kuchoma moto
 
Back
Top Bottom