Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Amani iwe kwenu,

Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.

Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
 
Kilosa kuna kijiji kinaitwa miyombo gunia linanunuliwa 350,000 mpaka 370,000
 
Mwaka huu ni mwendo wa stakabadhi galaniii especially kwa mkoa wa songwe 4700 Per Kg
 
Madalali na watia uchafu full njaa maana huwezi tia uchafu ukipeleka ghalani. Ila bei imechangamka balaa.
 
Hapo mzee una kama million 10 hivi, hongera sana kwa kupiga kilimo. Ulilima heka ngapi?
Amani iwe kwenu,

Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.

Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
 
Njoo hapa Songea-Ruvuma.,,Saiz kindoo chakilo nne ni elfu 10 ase
 
Hii biashara ikojeikoje yani ? Naomba maelezo kidogo
 
Songwe kwa mwaka huu ndo kuna bei nzuri kilo inauzwa kwa Tshs 4700
Daa hongereni sana, bei nzuri sana, pambaneni, kazi kwenu kuukosa utajiri, hiyo bei naitamani kweli. Naulizia dodoma wanasema 3700, dar 4000 kwa kilo.
 
Madalali na watia uchafu full njaa maana huwezi tia uchafu ukipeleka ghalani. Ila bei imechangamka balaa.
Madalali wanaharibu sana masoko ya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…