Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani iwe kwenu,
Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.
Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
Bei imeshuka kilo saizi ni 4100Songwe kwa mwaka huu ndo kuna bei nzuri kilo inauzwa kwa Tshs 4700
Njoo hapa Songea-Ruvuma.,,Saiz kindoo chakilo nne ni elfu 10 ase
Duh hapo hatari bei nzuri...maharage wanalima hapo navipi bei yake?Bi mana kwa kila kilogram ni shilingi 2,500? Songwe ni shilingi 4,700
Pesa tuuuAmani iwe kwenu,
Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.
Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.