Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Hayo ndiyo mawazo ya uongozi wa SUA,ikifika mwezi wa 6 hela zinarudi hazina eti hazijatumika.

Chuo hiki kinauwawa kwa viongozi wake kutokujali elimu bali pesa zao na teuzi.

Huu ukweli wakiambiwa wanaunda zengwe.
Aahh tena tunaosoma hapa vet medicine ndo kabisaaa, Tunafundishwa elimu ya zamani ambapo haiendani na uhalisia wa mambo ys siku hizi, what they think merely personal gain. Upuuzi mtupu
 
Aisee nimepita hapo zamani nikiwa jeshini mzinga namjua Sarwatt bila shaka ni wa idara ya wanyama
 
Hayo ndiyo mawazo ya uongozi wa SUA,ikifika mwezi wa 6 hela zinarudi hazina eti hazijatumika.

Chuo hiki kinauwawa kwa viongozi wake kutokujali elimu bali pesa zao na teuzi.

Huu ukweli wakiambiwa wanaunda zengwe.
Hela zinarudishwa hazina badala ya kutumika kuboresha miundombinu? Hakuna uongozi hapo aisee!
 
Aahh tena tunaosoma hapa vet medicine ndo kabisaaa, Tunafundishwa elimu ya zamani ambapo haiendani na uhalisia wa mambo ys siku hizi, what they think merely personal gain. Upuuzi mtupu
Mkuu hili ni tatizo kwa ngazi zote za elimu na kwa vyuo vyote. Tunafundishwa ujinga mwingi ambao tukija nao hapa mtaani tunakuta sio applicable kabisa.
 
Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaosoma SUA postgraduates mfano masters huchukua zaidi ya 24 months, PhD zaidi ya 48 months wakati nchi za nje kozi hizo hizo watu husoma na kuhitimu 18-24 months na 36-48 months? Ni kwamba elimu ya SUA ni ngumu (ipo deep sana) kuliko inayotolewa mfano Australia, UK au South Africa?
 
Mr UE anapita taratibu kukaguaa wapiga chaboo🧑‍🦯‍➡️
 
Pale ni hatari jamani
Unakutana na matofali ohooo

Si stationary kwa kassim,unit 1 up to 6

Sua acha kabisaa ila sio chuo kigumu kma wengi wanavodhani

Ila tatizo wanafunzi wengi hatupendi kusoma
Kama ulipita SUA bila shaka ulikuwa kiongozi MsasuA , inawezekana Kuna watu nikikutajia utakuwa unawajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…