Sold out ya mchongo imebumbuluka Simba Day

Hakuna ubishi kuwa Gamond na wachezaji wake walipata faida kubwa sana kama waliiangalia mechi Ile ya Simba vs power Dynamo kwakuwa kile walichokioana ndicho hichohicho watakachokiona. Ile ni mechi ambayo ilikuwa kufa na kupona kwa mo, robertihno, wachezaji, uongozi na wanasimba wote. Mchezaji ambae hakucheza siku Ile aanze kujiandaa kisaikolojia kwa robertihno. Ile ndio timu halisi ya Simba, ndio maana kocha haikuifanya iwe mechi ya wachezaji wote waonyeshe kile walichonacho mbele ya wanasimba.
 
Si kweli pale Hakuna uhalisia. Waliokua wanaangalia mechi kwa umakini Ni Singida. Na Robertinho hakuwapa kile walichohitaji.

Halafu mechi za Simba na Yanga hazina ufundi kihivyo. Ni mechi flani inayoamuliwa na Mambo mengi ya nje ya uwanja. Na kumtegemea siku hiyo umeamkaje. Presha inaweza toa matokeo zaidi ya maandalizi.

Ndiyo maana hata wakati ule Yanga ikiwa mbovu kabisa Simba ilikuwa unapata ushindi kwa shida hata kufungwa.

Ktk dabi ya kariakoo hakuna Simba Wala Yanga mbovu.

Kama Simba mliosema ni mbovu iliwafunga goli 2 hii ilihosajili itakuwaje.

Mechi ngumu ya Simba Ni ya kesho kutwa na Singida sababu naona km samba boy hajajipata. JAPO inaweza kuwa mtego kwa Singida.
 
Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
Kwa lugha nyingine, zilikatwa ticket zaidi ya zilizopamgwa, si kwa ufupi ilikuwa ni zaidi ya sold out
 
Namna robertihno alivyokuwa akishangalia inaonyssha kuwa kwake ilikuwa ni mechi ya kufa na kupona. Ule ndio uwezo wake kwasasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…