kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Hakuna ubishi kuwa Gamond na wachezaji wake walipata faida kubwa sana kama waliiangalia mechi Ile ya Simba vs power Dynamo kwakuwa kile walichokioana ndicho hichohicho watakachokiona. Ile ni mechi ambayo ilikuwa kufa na kupona kwa mo, robertihno, wachezaji, uongozi na wanasimba wote. Mchezaji ambae hakucheza siku Ile aanze kujiandaa kisaikolojia kwa robertihno. Ile ndio timu halisi ya Simba, ndio maana kocha haikuifanya iwe mechi ya wachezaji wote waonyeshe kile walichonacho mbele ya wanasimba.Mtoto wa kiume unaweza kujikuta unaenda hospital kujifungua kumbe Ni maumivu ya mtani kuujaza uwanja.
Dunia nzima inajua kulikua na Simba day 2023.
Nb:Huko kigamboni Avic Town waliahirisha mechi ya kirafiki na mazoezi ili wangalie Simba day.
Mashaka yangu Ni jinsia yako. Wanaume hatuko hivi ulivyo.