Solid Ground family wanafanya show bila CD, na sauti Yao ipo safi kabisa

Solid Ground family wanafanya show bila CD, na sauti Yao ipo safi kabisa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,504
Reaction score
20,293
Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor

Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD,
Best performance show ya Dar na ya Mwanza, labda hawazungungumziwi sana sababu nyimbo zao sio popular kama wengine
 
Solid ground family ii ndani ya bushipart,solid ground family ii ndani ya bushii...

Say chereko chereko//
Nderemo nderemo//
Vifijo na mayowe//
Baada ya kuuza mazao kwenye mnada wajanja wa bush tunakwenda kujimwaga//
 
Bongo perfomance live bado sana ,wawaige wasanii wa Band wanavyofanya.

Tatizo hawana mazoezi ,pumzi hawana ,mapombe sana hadi sauti na pumzi zinapotea.
 
Solid ground family ii ndani ya bushipart,solid ground family ii ndani ya bushii...

Say chereko chereko//
Nderemo nderemo//
Vifijo na mayowe//
Baada ya kuuza mazao kwenye mnada wajanja wa bush tunakwenda kujimwaga//
Sio siri bushparty imechangamka
Na vinywaji mbali mbali
Vimefurika kaunta
Mbege,togwa,chang'aa na ulanziii
 
Kwanini hatujawaona Nako2Nako....Joh makini...Q chief,Mike T
 
Back
Top Bottom