Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Nimeshangaa sana yule kuwekwa kwenye wasanii wa zamaniUmeona baraka da prince alichofanya?
Performance mbovu sana.
Sio siri bushparty imechangamkaSolid ground family ii ndani ya bushipart,solid ground family ii ndani ya bushii...
Say chereko chereko//
Nderemo nderemo//
Vifijo na mayowe//
Baada ya kuuza mazao kwenye mnada wajanja wa bush tunakwenda kujimwaga//