Solo Thang hapa kaka uliimba

Jamaa alikuwa anaimba vizuri na ana sauti nzuri sana, kitambo kile ingekuwa muziki unalipa kama sasa sidhani kama jamaa angejilipua, maisha angeyapatia vyema hapa bongo.
 
Kila kitu kinaenda na nyakati...alikuwa mkali sana ulamaa.
 
Huu wimbo ni kama umeimbwa leo maana hauchuji
 
Kuna ngoma yake inaitwa 'mpenzi' . one of the best romantic song!!!
 
Homa ya jijj ni Kwi Kwi af ndo mwaka 2001 lyrics
 
Huyo jamaa alikuwa shida sana, ila sio yeye tu in short kipindi bongofleva inaanza kulikuwa kuna vichwa vinaandika. Nilikuwa nawakubali sana Profesa Jay, Solo Thang na Jay Mo
 
"Mi sio Mfalme Juha,Mi sio mgambo Sele"

By solo thang
 
Hamna kitu hapo kelele tupu wimbo huwezi hata kutingishwa kidole cha mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…