Solo Thang hapa kaka uliimba

Solo Thang hapa kaka uliimba

Kila kitu kinaenda na nyakati...alikuwa mkali sana ulamaa.
 
Huu wimbo ni kama umeimbwa leo maana hauchuji
 
Kuna ngoma yake inaitwa 'mpenzi' . one of the best romantic song!!!
 
Huyo jamaa alikuwa shida sana, ila sio yeye tu in short kipindi bongofleva inaanza kulikuwa kuna vichwa vinaandika. Nilikuwa nawakubali sana Profesa Jay, Solo Thang na Jay Mo
 
Hamna kitu hapo kelele tupu wimbo huwezi hata kutingishwa kidole cha mguu
 
Back
Top Bottom