Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No mkali mpaka sasa " Msafiri kondo"Kila kitu kinaenda na nyakati...alikuwa mkali sana ulamaa.
Miss tanzania one of the best ama kweliUkimaliza kusikiliza huo, tafuta na "Miss Tanzania" Bonge moja la wimbo, japo media wanaliogopa hataree
Nyimbo nzuri saaana lakini ndo hivyo wabongo wanapenda kokoroUkimaliza kusikiliza huo, tafuta na "Miss Tanzania" Bonge moja la wimbo, japo media wanaliogopa hataree
Ana kijungu matata kiuno nyanya masaluUkimaliza kusikiliza huo, tafuta na "Miss Tanzania" Bonge moja la wimbo, japo media wanaliogopa hataree
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Mi sio Mfalme ****,Mi sio mgambo Sele"
By solo thang
we nenda kasikilize Singeli utatikisa mpaka Makalio.Hamna kitu hapo kelele tupu wimbo huwezi hata kutingishwa kidole cha mguu