Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka wakati wa shambulio la polisi na Wanajeshi wa UPDF waliokuwa wamezunguka makazi yake na kuzuia kabisa watu kuingia au kutoka.
Kupitia mtandao wa kijamii X (Twitter) mtoto wa Bobi Wine, Solomon Kampala amesemea amepata taarifa kuwa wakati uvamizi ukiendelea baba yake alifanikiwa kutoroka lakini mama yake bado anaendelea kushikiliwa nyumbani kwao chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi huku hakuna mtu akiruhusiwa kuingia au kutoka.