Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Basi specifically Tanzania na Uganda. Najiuliza tu sijui kuna siku tutaweza kuushinda udikteta au ndio utakuwa part ya maisha yetu hadi tunakufaSiyo Africa yote. Baadhi ya nchi zipo vizuri sana kwenye chaguzi zao. Ghana wako vizuri, Botswana, mauritius etc. Achana na bi musumi aliyeuwa vijana kibao sasa anatubu kwa mabalozi
Mpaka hapo unahitaji ushahidi gani kwamba hili ni bara la laana. Wenzetu walishataarabika sisi tunaishi kama mambuziNi kama hakuna namna ya Africa kuendelea tena. Ndio hivyo tumeshayakanyaga