change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Acha uongo wewe unaamini kabisa kuwa MUNGU alimtoa mtoto wake ili akukomboe wewe hapo mmatumbi?Achana na dini za mchongo,
Mwamini Yesu Kristo,ujazwe Roho mtakatifu akuongoze, akufundishe, akufunulie njia sahihi ya kuiendea,
Uishi maisha ya utakatifu.
Tunakoelekea, hata kutaka tu Jina Yesu utakamatwa au kufungwa JELA.
Kamata Imani, hata mkiwa Watatu katika familia Yako, Hilo ni Kanisa tosha.
Ubarikiwe.
Amen
Sasa amekukomboa nini? Watu wanateseka na magonjwa mazito!
Watu wanakufa njaa kila siku! Watu wanakimbia makazi yao kwa vita vinavyoletwa na wahuni wachache! Huo ukombozi uko wapi? Kama alikufa msalabani kwa ajiri ya watu kwanini watu wanateseka?
Nini kilichobadilika toka yeye afe msalabani! Acha wehu!
Hizi story zenu hazina utofauti na story za Muhammad ni story za wapigaji tu.
Najua utasema kuwa raha utazipata mbinguni,sasa kama raha ziko mbinguni yeye uyo mtu alikuja uku kufanya nini? Waarabu na wazungu walituweza sana