Solution ni kuhama, hakuna kitu inaitwa Formal na Informal blessing

Solution ni kuhama, hakuna kitu inaitwa Formal na Informal blessing

Umeelewa jibu lakini?
Nimekuuliza kuna mwenye imani ya kina Elia au bora liende? Kwanini hamuombi moto ushuke ulambe ushoga unaoingizwa kwenye Ukristo?
 
Nimekuuliza kuna mwenye imani ya kina Elia au bora liende? Kwanini hamuombi moto ushuke ulambe ushoga unaoingizwa kwenye Ukristo?
(Ephesians 6:11-12)

Tunashusha moto hatari, mashoga wanaokoka na kuacha USHOGA.

Wanazaliwa UPYA na kuishi maisha ya utakatifu.

Mungu anachukia dhambi iliyo ndani ya shoga, anampenda mdhambi sana ndomana alikuja kumuokoa.

Amen
 
(Ephesians 6:11-12)

Tunashusha moto hatari, mashoga wanaokoka na kuacha USHOGA.

Wanazaliwa UPYA na kuishi maisha ya utakatifu.

Mungu anachukia dhambi iliyo ndani ya shoga, anampenda mdhambi sana ndomana alikuja kumuokoa.

Amen
Shusha moto ujumbe wa papa usimfikie kasisi wako.
 
Wewe ni kama tu kibaka anayetumwa akaibe Kisha anampelekea boss wake na kubaki mtupu.

Shetani unayemtumikia Hana shukrani, ukiingia kuzimu ndo utamjua ni nani atakavyokutindua, hutoamini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu teseka pole polee, nitolee hasira zako hapaa.
Pope ndo amesha sema sasa, mfyuuuuh
 
Waje katika Imani,

Waje katika Maisha ya utakatifu,

Mbinguni hatuingii Kwa tiketi ya dini.

Wasabato, Islam, catolicano vikundi hivyo havitambuliki Mbinguni.

Bali WALIOOKOKA, walioosha mavazi Yao katika DAMU ya mwanakondoo Yesu Kristo.

Wenye kuishi maisha ya utakatifu.

Amen
Acha kubwabwaja mzee.Huo utakatifu unaufikiaje?Watakatifu wana sifa gani kwa mujibu wa Biblia?Ni hao wazishikao amri za MUNGU na ushuhuda(ufunuo 14:12).
 
Ukiona neno linalosemwa kuwa la Mungu linakuwa coded, watu wanahitaji tafsiri, wengine hawaelewi etc, ujue hakuna neno la Mungu hapo, hizo ni siasa za watu tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa sifa zake hizo, kama angekuwapo, angefanya habari zake zijulikane, bila utata, kwa viumbe wote, popote, wakati wowote.

Ukiona utata katika neno linalosemwa kuwa la Mungu tu, ujue una deal na neno la watu. Mungu hatakiwi kuwa na utata wowote katika kumueleza.

Hata huu mjadala unaonesha Mungu hayupo.

Angekuwepo, kila mtu angejua hilo bila utata mpaka mjadala huu usingewezekana kuwepo.
Nini chanzo cha uhai?Na kwa nini alama za vidole vyako hakuna unayefanana naye duniani?Ni nani alifanya hayo?
 
Hivi ile sala ambayo huwa tunasali hv

Padro/katekista: mnamkataa shetani
Waumini: twamkataa
Padri/katekista: na mambo yake yote
Waumini: twayakataa
Padri/katekista : na fahari zake zote
Waumini: twazikataa.

Sasa najiuliza hii ya kusema kubariki hizo mali za mapunga si tunaenda kinyume na hiyo sala hapo juu maana ake hizo mali ni fahari za mambo ya kishetani.

Nb : najaribu kutafakari kwa kutumia tu elimu ya katekisimu.
 
Nini chanzo cha uhai?Na kwa nini alama za vidole vyako hakuna unayefanana naye duniani?Ni nani alifanya hayo?
Chanzo cha uhai tunakitafuta, lakini si Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Kingekuwa Mungu huyo, uhai usingekuwa na matatizo ya magonjwa na kifo cha lazima. Mungu huyo si mkatili hivyo.

Alama za vidole kutofanana ni kwa muungano wa sababu za ki genetic na kimazingira wakati mtoto anakua tumboni, hakuna watu wawili wenye genetics sawa na mazingira sawa ya kukua tumboni, hatumuhitaji Mungu kuelezea hili.

Kwa maelezo zaidi, soma hapa Are fingerprints determined by genetics?: MedlinePlus Genetics

Ukiuliza "ni nani alifanya hayo" swali lako linalenga jibu la "ni fulani alifanya hayo". Unajuaje swali sahihi ni "nani"?

Soma hapo juu, jibu ni process, si mtu au Mungu fulani.
 
Naamini kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume!! Matatizo ya kauli za Pope Francis ni ya kwake binafsi. Atakufa au kufika mwisho wa utawala wake na Kanisa Katoliki lita PREVAIL cc johnthebaptist
Quote andiko linaloonyesha Cheo Cha "Pope".
 
Quote andiko linaloonyesha Cheo Cha "Pope".

Matayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
 
Hakuna kuchanganyikiwa.

Waliokuwa wanaambiwa juu ya Pope ni anaongozwa na Roho ya mpinga kristo, now uchaguzi uko kwao.

SHERIA na Amri za Mungu hazibadiliki, Jana Leo na hata milele.

USHOGA ni ushetani, kamwe haubarikiwi, mtu akubali kuacha atubu na anasamehewa na anafundishwa maisha ya utakatifu.

Kamwe Dhambi haibarikiwi Kwa Uongo na Hila ya kitu kinachoitwa "Informal blessing".

Mkuu umeongea kitu cha msingi sana.

Ubarikiwe
 
Mtaanza kuchumbiana sasa huko roma, kanisa pekee la mashoga

Mapadiri wenyewe wana kashfa ya kuingilia watoto kinyume na maumbile, so usishangae papa kuhalalisha ushoga kwa njia ya kuwabariki.

Na huu ni mwanzo tu
 
Eti mtu kapata gari baada ya kufirwq,ni sawa tuu Kasisi alibariki
 
Back
Top Bottom