SOLVED: Kwa wale wote waliotuma maombi NBS na hawajatumiwa e-mail ya password fanya hivi

NIDA ya mara ya kwanza umeweka ya nani na hiyo nida mpya ni ya nani.?
Niliyojikosesha ni ya mdogo wangu, baadae nika editi nikaweka yangu ikakubali, na dogo nikamfungulia pia kwa hio nida yake ikakubali,

Lakini pia sio lazima iwe sijui ya nani huko unayoijua, wewe unachopaswa ni kubadili kdg tu baada ya hapo uta edit, Mshkaji wangu yeye Alibadilisha nida yake ter na mwezi ikakubali.
 
IPO wazi Hilo tushasolve tokea muda Sana ila kabla sjapata hii solution nliumiza Akili Atareee kwakukosea Email tu lakn wanasema Ukipata changamoto ndo utajua pakutokea bas hii ndo ikawa Njia ya ku solve Kwaio Anachokisema jamaa Yupo sahihi
 
Hivi selection zinafanywa katika ngazi ya kata, Halmashauri au taifa? Mana kama ni kwa ngazi za kata au halmashauri basi magumashi yatakuwa mengi
 

Mbona umeandika kama mtoto? Hivi utabadili vipi nida au form four index na uendelee kuwa wewe na si mwingine?
 
Mbona umeandika kama mtoto? Hivi utabadili vipi nida au form four index na uendelee kuwa wewe na si mwingine?
We nawe si usome na kuelewa, mtu kakuambia una edit then baade unaandika kwa usahihi ndio unatuma tena na kupakua form, watu tumefanya hivyo imekubali wewe unakurupuka hapa.
 
Inawezekana kwa asilimia 100%. Nimefanikiwa. Msiwe mnakosoa tu kabla hajajaribu waungwana.
Umetisha sana mtoa mada. Waache customer care wao waendelee kuringa 🤣😂
 
Hivi selection zinafanywa katika ngazi ya kata, Halmashauri au taifa? Mana kama ni kwa ngazi za kata au halmashauri basi magumashi yatakuwa mengi
Unadhani ni ngazi ipi ina access ya watu waombaji wa mkoa au wilaya husika kwa urahisi kabisa?

Unadhani zile fomu ulizoacha kwa mtendaji ni za nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…