Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 561
- 997
Special gift nini, ni uwezo au vipawa anavyopewa mtu(choosen one) na Mungu kwa ajili ya kumsaidia kutimiza kusudi(calling) au wito duniani.
Choosen one ni nani, ni mtu aliyechaguliwa na Mungu katika familia au ukoo kuvunja baadhi ya tabia au maagano(generation trauma) yaliyo kinyume na Mungu na pia choosen one Mungu uwatumia kuleta matokeo chanya katika nchi/nation au world(dunia).
Aina za special gift walizonazo Choosen one
1.Spirtual awereness(ufahamu wa kiroho)
Choosen one wote wanauelewa upana wa kiroho au kuhusu Mungu,
choosen one wanamjua Mungu sio kwa hadithi tu(kufundishwa either kanisani) bali maisha yao wame experience uwepo wa Mungu au Mungu anaishi ndani yao(choosen one wapo 5D dimension).
Hii ni awereness(utambuzi wa juu kuusu Mungu.watu wengi duniani wapo 3D dimension hii ni dimension au ufahamu kuhusu Mungu upo kwa kuambiwa tu au kusoma bila ku experience nguvu za Mungu(creator).
2.Intuition(sauti ya ndani)
Choosen one wana hali ya kusikia sauti ya ndani hii inawasaidia kuepuka na baadhi ya mambo, mfano hatari kama ajali, yaani anaweza kuhisi kitu na kweli kikatokea
3.Empathy(kuhisi hisia za wengine)
Choosen one anaweza akatambua hisia za wengine kama furaha au huzuni, kuna mtu anaweza kuficha huzuni lakini kwa choosen one ni rahisi kutambua huzuni yako atakama una hificha(hide)
4.healing(kuponya)
Choosen one , Mungu amewapa kibali cha kusaidia hivyo maneno ya choosen one yanaweza kuwaponya watu, kuwapa faraja, tumani.
pia choosen one ni watu ambao watu wana waomba msaada kutatua matatizo yako mfano kuna pastor, manabii, spirtualist n.k pia ukiwa karibu na choosen one kuna utulivu wa nafsi unapata sababu wana beba inner peace from God(amani ya moyo)
5.Discernment(utambuzi wa kiroho)
Choosen one pia wanauwezo wa kutambua maeneo au watu sahihi wa kuambatana nao, Choosen one kama eneo hilo sio sahihi kwao wanapata headache(kichwa kuuma), mwili kuchoka sana, kuchanganyikwa(confusion) basi hapo wakiondoka hali inarudi sawa.
lakini wakifika eneo moyo unautulivu basi wanajua eneo ndio sahihi.(kiufupi choosen one anaweza tambua dark energy(uchawi, n.k), choosen wapo kutoa light duniani kupita hekima, maarifa, upendo na kusema ukweli unaobadilisha jamii.
6.Wisdom(hekima)
Choosen one wanauelewa mpana wa maisha sababu ya kupitia changamoto ngumu za kimaisha kama kupoteza mali, watu, kazi, ndoto, mahusiano, kusalitiwa, kukataliwa n.k hivyo kupitia changamoto hizi zina pelekea kuwa na hekima na hii inatoka kwa Mungu.
Mfano tunaona choosen one kwenye bibilia kama Bwana yesu, Musa, Daudi , Yusuph n.k wapo wengi na wakati huu ujio wa bwana yesu mara ya pili ni choosen one , roho wa bwana anaishi ndani yao.hivyo kuokoka(salvation) ni yesu(roho wa bwana au holy spirit) kuishi ndani yako.
Imetolewa Meshack Mwalemba
positive mindset