Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi
Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa
Kujumua Viatu Mbeya Mjini
Na Kuanza Kuviuza Eneo
Nitokalo(kyela).
Ndugu Zangu Nishaurini Mbali Na Wazo Langu,Je Kuna Biashara Nyingine Naweza Fanya Na Ikatoa Faida ya Ziada?
NB:Haijarishi Mkoa Gani
ilimradi Biashara Hiyo Ina Manufaa!
Natanguliza Shukrani!

kama uko somaria,nakushauri uje lakini kama uko uganda kwingineko,piga kazi,hiyo laki tatu utagawana na wagambo wa huku tz.maana hata kabla hujafika sehemu ya soko ulilotarget wao walishakuona,
ndio...Na Ndizo Hizo Nilizozichanga Toka Mwaka Jana!
Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi
Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa
Kujumua Viatu Mbeya Mjini
Na Kuanza Kuviuza Eneo
Nitokalo(kyela).
Ndugu Zangu Nishaurini Mbali Na Wazo Langu,Je Kuna Biashara Nyingine Naweza Fanya Na Ikatoa Faida ya Ziada?
NB:Haijarishi Mkoa Gani
ilimradi Biashara Hiyo Ina Manufaa!
Natanguliza Shukrani!
Mkuu toka mwaka jana umechanga laki 3 ugenini sio ungeamua kukaa TZ na kuzichangia huku tu? Sioni kama kuna kazi unaweza kufanya nje ya nchi, kwa kuajiriwa ukachanga kwa mwaka laki 3 mkuu bana, au sio kazi rasmi?