Soma Hapa Tafadhari,Nakutegemea!!

Soma Hapa Tafadhari,Nakutegemea!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi
Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa
Kujumua Viatu Mbeya Mjini
Na Kuanza Kuviuza Eneo
Nitokalo(kyela).

Ndugu Zangu Nishaurini Mbali Na Wazo Langu,Je Kuna Biashara Nyingine Naweza Fanya Na Ikatoa Faida ya Ziada?

NB:Haijarishi Mkoa Gani
ilimradi Biashara Hiyo Ina Manufaa!
Natanguliza Shukrani!
 
Kwanini unajishusha hivi mkuu?
 
kama inawezekana ongeza muda wa kukaa huko, endelea kutafuta uongeze huu mtaji wako then unaweza kufanya kitu chenye uhakika zaidi.
 
Kwanini unajishusha hivi mkuu?

kila Mtu Na Alivyojaaliwa Mkuu,sizani Kama Naweza Fanana Nawe Katika Mipango Ya Maisha!
Tafadhari Ushauri Wako my Dear!
 
kama inawezekana ongeza muda wa kukaa huko, endelea kutafuta uongeze huu mtaji wako then unaweza kufanya kitu chenye uhakika zaidi.

Nimekuelewa Mkuu Ila Mazingira Ya Huku Yananirazimu Kurudi Tz,Mda Wowote Toka Sasa!
 
kama uko somaria,nakushauri uje lakini kama uko uganda kwingineko,piga kazi,hiyo laki tatu utagawana na wagambo wa huku tz.maana hata kabla hujafika sehemu ya soko ulilotarget wao walishakuona,
 
Fanya juu na chin uje tz hata kwa kuzamia meli au tren na hzo lk3 zako uje huku meru tuuze ngogwe.
 
Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi
Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa
Kujumua Viatu Mbeya Mjini
Na Kuanza Kuviuza Eneo
Nitokalo(kyela).

Ndugu Zangu Nishaurini Mbali Na Wazo Langu,Je Kuna Biashara Nyingine Naweza Fanya Na Ikatoa Faida ya Ziada?

NB:Haijarishi Mkoa Gani
ilimradi Biashara Hiyo Ina Manufaa!
Natanguliza Shukrani!

Mhhh......hizo si dollar 200 tu mkuu?
 
kama uko somaria,nakushauri uje lakini kama uko uganda kwingineko,piga kazi,hiyo laki tatu utagawana na wagambo wa huku tz.maana hata kabla hujafika sehemu ya soko ulilotarget wao walishakuona,

Du!mkuu Mbona Unanitisha Namna Hyo?
Daaaah!
 
Hauko serious ndugu. Dollar 200!!! Kwani Tanzania umetoka lini?
 
ndio...Na Ndizo Hizo Nilizozichanga Toka Mwaka Jana!

Mkuu toka mwaka jana umechanga laki 3 ugenini sio ungeamua kukaa TZ na kuzichangia huku tu? Sioni kama kuna kazi unaweza kufanya nje ya nchi, kwa kuajiriwa ukachanga kwa mwaka laki 3 mkuu bana, au sio kazi rasmi?
 
Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi
Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa
Kujumua Viatu Mbeya Mjini
Na Kuanza Kuviuza Eneo
Nitokalo(kyela).

Ndugu Zangu Nishaurini Mbali Na Wazo Langu,Je Kuna Biashara Nyingine Naweza Fanya Na Ikatoa Faida ya Ziada?

NB:Haijarishi Mkoa Gani
ilimradi Biashara Hiyo Ina Manufaa!
Natanguliza Shukrani!

Utafanikiwa tuu ndugu yangu njoo nikusaidie kimawazo namna ya kufanya businee na ikiwezekana hata kuandika business plan yako utanipa M1 tu
 
Mkuu angalia ni bidhaa zipi unaweza kutoa huko uliko na kuleta Tanzania au nini unaweza kutoa Tanzania kupeleka huko uliko. Mara nyingi ukiwa nchi nyingine unaona vitu mbali mbali tofauti na nyumbani ambazo ni fursa tosha ya biashara ndogo. Utashangaa kuna biashara ndogo lakini ukivuka mpaka inakuwa na faida nzuri. Kuwa makini kuangalia na kuulizia bei za vitu mbali mbali na kulinganisha na bei za nyumbani. Nazungumzia vitu unaweza kusafirisha kwenye mabasi. Njia nyingine ya kujua nafasi zilizopo za biashara ndogo ndogo ni kwenda kwenye kituo cha basi zinazo enda au kutoka Tanzania na kuangalia ni bidhaa gani tayari watu wanasafirisha na ufanye utafiti wa faida yake. Unaweza pia kuongea na ma konda wakakujulisha ni kitu gani wanaona watu wakisafirisha kwa wingi.
 
Mkuu toka mwaka jana umechanga laki 3 ugenini sio ungeamua kukaa TZ na kuzichangia huku tu? Sioni kama kuna kazi unaweza kufanya nje ya nchi, kwa kuajiriwa ukachanga kwa mwaka laki 3 mkuu bana, au sio kazi rasmi?

Watu Tunatofautiana Katika Utafutaji,hii Kazi Yangu Si Rasmi Na ndio Maana Nataka Kurudi Nyumbani Na Kujiajiri Mkuu!
 
Utafanikiwa tuu ndugu yangu njoo nikusaidie kimawazo namna ya kufanya businee na ikiwezekana hata kuandika business plan yako utanipa M1 tu

sasa Ndugu Yangu Mbona Unaandika Mambo Ya M.1 Kwenye Laki 3?
Sina Uwezo Uwo!
 
Back
Top Bottom