Soma hapa Ujumbe Mzito wa Rais Samia unaozunguka Duniani kote kwa kasi ya Mwanga

Soma hapa Ujumbe Mzito wa Rais Samia unaozunguka Duniani kote kwa kasi ya Mwanga

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi Wa aina yake ,ni kiongozi mwenye Ushawishi haijapata kutokea Barani Afrika Katika Miaka ya hivi karibuni, ni kiongozi mwenye Uwezo Mkubwa sana wa kuwasilisha ujumbe wake ukaeleweka vyema kwa watu wote.

Ni kiongozi ambaye huwezi kuchoka kumsikiliza anapozungumza Jambo ama kuelezea Jambo. Ni kiongozi ambaye kila neno litokalo katika kinywa chake linakuwa limejaa Pumzi ya kuleta Matumaini na kuponya mioyo ya watu. Kinywa chake kila kifungukapo Hutoa Maneno yenye kuunganisha watu,kujenga umoja na mshikamano na kuwatia moyo watu.

Ni kiongozi ambaye Anakuwezesha na kukupatia ujasiri wa kuamini katika ndoto zako kufanikiwa. Ndio maana ya kuona akiungwa mkono na watu wa rika zote ,ndio sababu ya kupendwa na kuaminika na watanzania ndio sababu ya kuheshimika na kukubalika kwa watanzania, ndio sababu ya kuona mambo yakinyooka kila awekapo Mkono wake.

Ni kiongozi aliyebarikiwa na kupewa Karama ya kipekee kabisa . Rais Samia Ni Nuru na Mwanga kwa Taifa hili. Ni Moyo Wa Hii Nchi. Bila yeye kuwepo madarakani Taifa hili lingekuwa katika hali mbaya sana kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Ulimwengu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260501-211209_1.jpg
Screenshot_20260501-211303_1.jpg
 
Yawezekana bwana lucas aliendaga kwa mganga kupata huduma flan sasa miongoni mwa mashalti ni kutukanwa kila siku kama moja ya tiba ivyo inabidi aje uku jf kuchokoza watu ili wamtukane na mbaya zaidi anawaponza na watu wengine nao watukanwe
 
Bwana lucas wewe ndio unafanya madam mama kilasiku akaangwe uku jf
 
Back
Top Bottom