Mwaka huu Yanga itakuua kwa kisukariNimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....
Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.
Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
Business is people, If you want to do good business,(promote sales), you have to tell people what you're doing, (communication skills), remember also there are many ways to kill a rat, similarly Yanga has found an opportunity to promote sales through CAFCL. Biashara ni watu Yanga wameiona fursa ya kujiongezea kipato kupitia CAFCL, wafanya biashara waliofanikiwa wanajua namna,(jinsi), ya kuwapata wateja kuwakumbatia kwa kuwahudumia vizuri na kupata mrejesho ili wasiondoke, kwa taarifa yako Yanga msimu ujao 2025 ni moja ya timu itakayo shiriki Super cup, msiendekeze kubeza wenzenu kumbe mwisho wa siku mtaonekana uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mnapo poteza muda wenu kubeza wenzenu wanapiga hatuaNimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....
Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.
Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
... na kichumvi na kipilipiliMwaka huu Yanga itakuua kwa kisukari
Mbumbumbu katika umbumbumbu
Kweli kama wamejipa title ni mambumbu wanaoelekea kwenye utahira...π€£π€£π€£
Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Halafu uzuri Mungu si Athumani wala Shabani, wamekosa Mkapa sasa mechi inaenda kuchezewa Chamazi. Kwa hiyo mashindano ya CAF yanaenda kuzinduliwa Chamazi Complex!Ally Komwe ana matatizo sana.. hiyo sherehe ni yao sio ya CAF wahuni wanataka kuwaibia watanzania tu.
Acheni utapeli na udanganyifu. Naanza kuamini hata wale wa "tuma kwenye namba hii" mnawafuga huko hukoBusiness is people, If you want to do good business,(promote sales), you have to tell people what you're doing, (communication skills), remember also there are many ways to kill a rat...
Kuchelewa kujua siyo ujinga, ujinga nikukataa kuelimika,(you are closed minded)Acheni utapeli na udanganyifu. Naanza kuamini hata wale wa "tuma kwenye namba hii" mnawafuga huko huko
Wewe jamaa hua una udumavu wa akiliHuu ni utapeli wa mchana kweupe. Halafu uzuri Mungu si Athumani wala Shabani, wamekosa Mkapa sasa mechi inaenda kuchezewa Chamazi. Kwa hiyo mashindano ya CAF yanaenda kuzinduliwa Chamazi Complex!
Ila toka wajumuishe matokeo ya mechi mbili za ligi wakayaweka katika mabango, nikasema hakuna kitu watafanya kitanishangaza tena ila naona kama bado wananishangaza hiviiiKweli kama wamejipa title ni mambumbu wanaoelekea kwenye utahira...π€£π€£π€£
Mwehu wewe...jibu swali kwenye page yao mmepewa hiyo hadhi?Ona hizi mbumbumbu jike na dume tukio la uzinduzi wa AFL lililua mali ya 5imba au la michuano husika? Ndio maana mkawekekewa kwenye mafanikio mtashangilia kama mazuzu
Kwani Ismail Aden Rage alikuwa ni Mwenyekiti wa timu gani? Maana huyo ndiye aliyewaita mbumbumbu wale wanachama waliohudhuria ule mkutano wa klabu.Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....
Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.
Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
View attachment 3075866
πππ In case wamesahauKwani Ismail Aden Rage alikuwa ni Mwenyekiti wa timu gani? Maana huyo ndiye aliyewaita mbumbumbu wale wanachama waliohudhuria ule mkutano wa klabu.