Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Nov 18, 2023 #2 Iyo million 10 ipo wapi?
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Nov 18, 2023 #4 Sema umebebwa na Namba. Ungekuwa unafundisha history na Kiswahili, ungekosa wateja
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Nov 19, 2023 #5 Endelea na kazi hiyo, kwa kuwa una fedha ni rahisi kuwa kada wa chama cha siasa ukitaka kuwa mwanasiasa utaweza kuomba udiwani au ubunge ukawa na hadhi kubwa zaidi
Endelea na kazi hiyo, kwa kuwa una fedha ni rahisi kuwa kada wa chama cha siasa ukitaka kuwa mwanasiasa utaweza kuomba udiwani au ubunge ukawa na hadhi kubwa zaidi