OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naipenda sana simba
Lakini tambo nyingine khaaaa
bata lisisimame watu wanakufa Kwa vita vya wenyewe Kwa wenyewe na kunyimana haki lije lisimame kwa usajili wa footballer?
haya mkuu, tunasubiri
Tambo nyingiiiii, halafu wakirudi hapa wanafungwa na mbeya kwanzaNaipenda sana simba
Lakini tambo nyingine khaaaa
bata lisisimame watu wanakufa Kwa vita vya wenyewe Kwa wenyewe na kunyimana haki lije lisimame kwa usajili wa footballer?
haya mkuu, tunasubiri
π€£ π€£Mnamchukua Lewandoski ama?
Simba wamesajili mlinzi kutoka Taliban afaghanistan
Kupandisha presha kwa ajili ya BWALYA.? πππKwa hii habari Utopolo wanne washapandisha presha,khaaaa,,!!Simba mtauwa wenzenu.
nitajie timu moja isiyofungwa hapa dunianiTambo nyingiiiii, halafu wakirudi hapa wanafungwa na mbeya kwanza
Akikujibu nitagnitajie timu moja isiyofungwa hapa duniani
Mbona huyo ni mzee sana sisi tumepeleka ofa PSG tumung'oe MbappeMnamchukua Lewandoski ama?
Siyo Luc Eymael? ππππππππMnasimamisha Afrika na mchezaji asiyecheza michuano ya kimataifa kwa hatua mliyopo ama siyo!!Nimemkumbuka sana Mzee Rage