Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

Kwani wachezi 12 wa kigeni bado Simba hawajafikisha?
 
Simba ajawai kishindwa,usishangae tff ghafla wakapendekeza wachezaji 15 wa kigeni,Simba ndo timu ya serikali na uuma wa watanzania.
Timu ya Wallace Karia, Moo na Bodi ya Ligi ndiyo iwe timu ya Serikali na umma wa Watanzania!!

Lini mliichukua nafasi ya Wananchi?
 
Simba ilishapoteza uelekeo Kwasasa wanahangaika tu, eti sera yao ya Sasa nikuchukua vijana wenye miaka 20 ivi Tangu dunia ya mpira ianze wapi usha sikia Klabu yenye kusaka mataji inakua kituo Cha kulea vijana!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23], naona wimbo mumeubadirisha kutoka timu ya wazee hadi kituo cha kulelea vijana
 
Simba ilishapoteza uelekeo Kwasasa wanahangaika tu, eti sera yao ya Sasa nikuchukua vijana wenye miaka 20 ivi Tangu dunia ya mpira ianze wapi usha sikia Klabu yenye kusaka mataji inakua kituo Cha kulea vijana!!!!
Kuch kuch hotae hataki kutoa pesa ya maana, ananunua vijana wa buku jero, wakipanda viwango anapiga bei
 
Ila mna maskhara nyie yaani eti hadi na mabara ya jirani yatasimama 🙄🙄 huu ni utani wa ngumi huu.

Messi tu ameenda PSG kulisimama wapi.
messi kwao kule kuna level seat
 
Kuch kuch hotae hataki kutoa pesa ya maana, ananunua vijana wa buku jero, wakipanda viwango anapiga bei
Kanogewa na fedha za mauzo ya Chama na Luis, ndio maana wanaosajiliwa ni vijana lengo ni kuja kuwauza na kurudisha bilioni 20 zake.
 
Back
Top Bottom