Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
HARRY KANE KUTUA MSIMBAZI. Ha ha haaView attachment 1899608
Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama.
Bonus
Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
Baba yake lewandoski kabisa [emoji23]Mnamchukua Lewandoski ama?
Simba ajawai kishindwa,usishangae tff ghafla wakapendekeza wachezaji 15 wa kigeni,Simba ndo timu ya serikali na uuma wa watanzania.Kwani wachezi 12 wa kigeni bado Simba hawajafikisha?
Hayo ni mazoez kashacheza mechiView attachment 1899608
Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama.
Bonus
Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
Timu ya Wallace Karia, Moo na Bodi ya Ligi ndiyo iwe timu ya Serikali na umma wa Watanzania!!Simba ajawai kishindwa,usishangae tff ghafla wakapendekeza wachezaji 15 wa kigeni,Simba ndo timu ya serikali na uuma wa watanzania.
Kaa hapa usubiri usajili wa kishindo,andaa dawa za presha au sogea karibu na hospitali.Timu ya Wallace Karia, Moo na Bodi ya Ligi ndiyo iwe timu ya Serikali na umma wa Watanzania!!
Lini mliichukua nafasi ya Wananchi?
[emoji23][emoji23][emoji23], naona wimbo mumeubadirisha kutoka timu ya wazee hadi kituo cha kulelea vijanaSimba ilishapoteza uelekeo Kwasasa wanahangaika tu, eti sera yao ya Sasa nikuchukua vijana wenye miaka 20 ivi Tangu dunia ya mpira ianze wapi usha sikia Klabu yenye kusaka mataji inakua kituo Cha kulea vijana!!!!
Hamkawii kusajili Serunkuma mwingineKwa hii habari Utopolo wanne washapandisha presha,khaaaa,,!!Simba mtauwa wenzenu.
Kuch kuch hotae hataki kutoa pesa ya maana, ananunua vijana wa buku jero, wakipanda viwango anapiga beiSimba ilishapoteza uelekeo Kwasasa wanahangaika tu, eti sera yao ya Sasa nikuchukua vijana wenye miaka 20 ivi Tangu dunia ya mpira ianze wapi usha sikia Klabu yenye kusaka mataji inakua kituo Cha kulea vijana!!!!
Duka la mikia hilo,alimtengea chama ndani ya 18 pambavutetesi zinasema Papy Tshishimbi is red.
messi kwao kule kuna level seatIla mna maskhara nyie yaani eti hadi na mabara ya jirani yatasimama ππ huu ni utani wa ngumi huu.
Messi tu ameenda PSG kulisimama wapi.
Kanogewa na fedha za mauzo ya Chama na Luis, ndio maana wanaosajiliwa ni vijana lengo ni kuja kuwauza na kurudisha bilioni 20 zake.Kuch kuch hotae hataki kutoa pesa ya maana, ananunua vijana wa buku jero, wakipanda viwango anapiga bei
πͺπͺπͺπͺπͺYule kiungo wa Mali
Nasikia tunamemna lukakuMnamchukua Lewandoski ama?