Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia Manara hapa. Ameshindwana na Simba Sc kwa hiyo unataka wafanyaje? Bro kama unampenda sana Manara nenda alipo mkapendane lakini kwa Simba hatuhitaji wajinga kama nyie. Fikiria tunajadili usajili jitu linaleta stori za Manara,mzima kweli wewe?

Tena sasa pasipo kufichaficha Manara ni mpuuzi na wanaodhani Simba itashindwa kwa sabbu yake ni wapuuzi. Hamasa inasaidia nini performance ya timu? Hao Yanga waliokosa kombe miaka 4 hawana hamasa?
 
Mpira wa Tanzania unachezwa kwenye mitandao tu na ndio mwisho wake. Sasa huyo mchezaji ana nini cha ajabu, mbona sasa asiende Ulaya. Tanzania is not a sporting country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…