Soma kisa hiki cha utapeli, ujifunze kitu

Sisi kwetu walikusanywa wapishi (Kikundi cha Akinamama); nyama yote ya buchani; bidhaa mbalimbali za sokoni; canter mbili hadi wachinjaji wa mbuzi. Mwishoni, wote wakaachwa kwenye mataa zikiibwa simu tu za akinamama wote.
 
Kila mtu hujaribiwa kwa tamaa yake mwenyewe πŸ˜€
 
Mmh, yaani kila mmoja alipokuwa akimpa simu huyo mzee alikuwa akiendelea na shughuli ya kuchimba mashimo bila kuangalia mzee anaelekea wapi na simu yake? Kuna wingi wa chumvi kwenye mboga.
Mzee umewahi kumuamini mtu...Kwasababu kama yye ndo kasaleta kuchimba na yeye mwenyewe kawapa deal la 80k per day huwez kumtilia shaka hata kidgo
 
Rule number one: Never bargain with strangers
 
Jamani yaan mashimo ya minara yachimbwe umbali gani huo kwamba kila mtu anachimba mashimo ya mnara mmoja halafu mpo watu 14 ina maana hiyo minara ipo 14 imekuwa nguzo za umeme au.
Haya maswali unajiuliza sasa baada ya kujua ni matapeli. Lakini kwa mtu aliye kijiweni na ameambiwa kuna mshiko wa kufa mtu hakumbuki. BTW kwani waliambiwa kazi inaisha siku hiyo hiyo baada ya kuchimba mashimo 14? Si mnaambiwa hapa ndiyo pa kuanzia na mtaendelea hata mwezi mmoja kila siku. Kuhusu umbali, sidhani kama ukiwa mrefu kuna mtu atashtuka.
 
kwahiyo minara 14 sehemu moja πŸ˜† πŸ˜†
 
Mmh, yaani kila mmoja alipokuwa akimpa simu huyo mzee alikuwa akiendelea na shughuli ya kuchimba mashimo bila kuangalia mzee anaelekea wapi na simu yake? Kuna wingi wa chumvi kwenye mboga.
Ungesikia wahanga waliotapeliwa walivyokuwa wanaelezea kwenye radio siku moja usingesema kuna chumvi hapa. Hao matapeli ni wataalam kweli kweli na wanajua ku act. Wanaenda kuchukuwa mpaka mama ntilie (wanamtapeli) anakuja kuwapikia. Magari wanakodisha, yaani ukienda kwenye eneo la tukio unakuta watu wengi kila mmoja anashughulika. Unapoambiwa nipe simu huwezi kuwa na wasiwasi hata kidogo.
 
Watu bana wanapenda kubisha tu, hii ishu ukishapigwa ndo unaanza kuziona red flags
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiii dunia hiii hapana

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…