Roby G
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 591
- 604
Jamaa hawajui matapeli, maswali kama hayo hata wenyewe wanajua wataweza ulizwa na wameshajipanga namna ya kujibi.. mbona hajafikiria hata ilo pori wametumia muda gani kulitafuta ikiwa wao ni wageni eneo hilo.Ukishatapeliwa maswali kama haya ndo yanaleta maana, ila kabla ya kupigwa we utakua unawaza kuondoka na 80 yako hata uambiwe uchimbe wapi hutawaza